Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe.Benjamin William Mkapa akitoa hotuba wakati akifunga mkutano wa siku mbili ulio wakutanisha wadau wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/ AIDS,ulifanyika kwenye ukumbi Wa NSSF Waterfront Jijini Dar es Salaam. Lengo wa mkutano huo ilikuwa kujadili changamoto kuboresha huduma za Afya ya mama na watoto na UKIMWI
Baadhi ya wadau wa sekta hiyo wakiwa kwenye mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/ AIDS, Dr Ellen Senkoro akiagana na Rais Mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku mbili ulio wakutanisha wadau wa Taasisi hiyo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment