Thursday, 27 June 2013

Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Shirika la UNDP,Bi. Helen Clark,Pia akutana na Spika wa bunge la Oman ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na
Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu
jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa
Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...