Mwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu BenjaminWilliam Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogo(kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa wakiwa katika hafla fupi yakuwapongeza na wanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA)iliofanyika ukumbi wa JB BELMONT jijini Dar es salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa akisalimiana na Mwalimu wa chuo cha musoma Dr John Nchagwa wakati wa hafla hiyo
WanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA)wakimsikilizaMwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu BenjaminWilliam Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogowakati wa hafla hiyo
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa.pamoja naMwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu BenjaminWilliam Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogo wakiwa kwenye picha ya pamoja wanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA) mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.

No comments:
Post a Comment