Tuesday, 11 June 2013

TIMU YA KAMPENI YA CCM WATUA MAHENGE

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Wa pili kushoto akiwashuka kwenye kivuko cha mto kilombero akiwa njiani kwenza kwenye kampeni za udiwani kata ya Minepa iliyopo jimbo la ulanga akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa CCM wa morogoro vijijini Mh Jazar wa kwanza kushoto,Mbunge wa Viti maalumu Mh Sarah Msafiri,Pamoja na Mbunge wa Kilombero Mh Abu Mteketa wa mwisho kulia pamoja na wapenzi na wanachama wa chama hicho
 Mwenyekiti wa ccm wilaya ya morogoro vijijini Mh Jazar kulia akiwa na aliyekuwa katibu wa wilaya ya chadema Ndugu Rajabu ambaye amehamia CCM mara baada ya kuchoshwa na Sera Mbovu za Chadema

 Timu ya kampeni ikiwa ndani ya kivuko cha kilombero wakiwa njiani kwenda kwenywe mkutano wa kampeni kata ya minepa wilaya ya mahenge

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...