Saturday, 1 June 2013

WANACHAMA WA CCM VYUO VIKUU MOROGORO WAFANYA MAHAFALI YA KUWAAGA WENZAO WANAOTARAJIWA KUMALIZA MASOMO YAO.PATA TUKIO ZIMA HAPA

 
Ni mahafali iliyoandaliwa na chuo kikuu cha waislamu Morogoro ambayo imejumuisha vyuo vikuu vya SUA, Mzumbe pamoja na Jordan ambapo Mh. Mwiguru Nchemba ambaye ni Naibu katibu mkuu CCM Taifa na ambae ni mbunge wa Singida ndiye aliyekuwa mgeni rasmi wa makada hao wa chama tawala CCM, mahafali hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Magadu Mesi Morogoro
Mbunge wa Tandahimba ambaye ni mlezi wa tawi CCM  la chuo kikuu cha waislamu Mororogoro Mh. Juma A. Njwao akinena jambo 
Burudani nayo ikuwepo mwanadada kutka chuo cha Mzumbe akitoa burudani
Mh Mwiguru akihutubia wanachama wa CCM vyuo vikuu Morogoro
sehemu ya umati ya wanachama wa CCM vyuo vikuu Mororogoro waliohudhuria mahafali hiyo
Wanachama wakikabithiwa vyeti maalum vya uhitimu wa chuo
Mh Mwiguru akiondoka ukumbini huo vijana wakimuaga kwa bashasha nae akionekana ni mwenye furaha kwa vijana wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...