WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KWENYE MIJI NCHINI
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na mchungaji anayesimamia Kanisa la kiinjili za Kilutheri Tanzanai KKKT katika Hospitali ya Kanisa hilo ya Seriani , Arusha wakati alipokwenda kuwapopole majeruhi wa mlipuko wa bomu waliolazwa kwenye hospitali hiyo, Juni 18, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikata utepe wakati alipozindua mradi wa kuimarisha barabara katika halmashauri 18 nchini katika warsha iliyofanyika kwenye ukumbi wa Koringe mjini Moshi, Juni 18,2013,Wapili Kushoto ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia na kushoto ni mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika Kanda ya tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika Kanda ya tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier (Wapili Kushoto) na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (watatu kushoto) na kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa TAMISEMI,Jumanne Sagini (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua mradi wa kuimarisha barabara katika halmashauri 18 nchini katika warsha iliyofanyika kwenye ukumbi wa Koringe mjini Moshi, Juni 18,2013,(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment