Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni 25,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
MWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani kutoka jimbo la Chilolo mkoani Iringa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


No comments:
Post a Comment