Friday, 21 June 2013

YALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB NA WABUNGE JIJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

IMG_0021Hiki ndicho kikosi kamili cha timu ya benki ya NMB kilichong’ara siku hiyo katika kutimua kivumbi kwenye uwanja wa jamhuri.
Katika kuendeleza na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya Benki ya NMB na waheshimiwa wabunge, Benki ya NMB iliandaa mtanange wa kukata na shoka ambao ulihudhuriwa na washabiki wa timu hizo mbili  ambao ni wakazi wa manispaa ya Dodoma.IMG_0019Na hii ndio timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMBIMG_0010Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mhe. George Mkuchika ambae alikua ndiye mgeni rasmi akikagua kikosi cha timu ya NMB kabla ya mpambano huoIMG_0054Naibu waziri wa habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Amos Makalla (Jezi ya njano na Bluu) akipigwa chenga na  Afisa mkuu wa fedha NMB  Waziri Waziri katika mtanange huo uliokuwa wa kukata na shoka.IMG_0128(1)Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huuNa hii ndio timu ya waheshimia wabunge iliyowatikisa  wachezaji wa timu ya NMBIMG_0051Hawa ni sehemu ya mashabiki wa timu hizi mbili wakifurahia mtanange huu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...