Friday, 2 August 2013

TASWIRA KUTOKA NANE NANE MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa katika moja ya banda wakati alipotembelea katika viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerer Mjini Morogoro leo
 Banda la chuo cha kilimo cha sokoine mkoani Morogoro
 Mazao ambayo yapo kwenye mabanda ya maonyesho hayo mjini Morogoro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...