








Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika kata ya kabita wilayani Besega.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa mwenyekiti wa kikundi cha waendesha Lamadi Busega bodaboda Doto Paulo .
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndugu Pascal Mabiti kulia akizungumza jambo na Mkuu wa wilaya ya Besega Paul Mzindakaya kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Lamadi Busega.
Kikundi cha ngoma cha lamadi Busega kikitumbuiza katika mkutano huo.
Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo wa hadhara wakifuatilia matukio ya mkutano huo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akuhutubia wananchi katika mkutano huo wa hadhara mjini Lamadi wilayani Busega.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Lamadi Simiyu.(PICHA NA KUKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-LAMADI SIMIYU)






No comments:
Post a Comment