Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, kushoto, Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa wakipungia wananchi mikono kabla ya kushuka kwenye meli ya MV Songea wakitokea Mbamba Bay Wilayani Nyasa Marabaada ya kuwasili katika bandari ya ya Itunge Kyela Mkoani Mbeya na ameanza ziara ya kikazi mkoani humo, Kinana na ujumbe wake atatembelea wilaya za Kyela, Rungwe, Ireje, Moma. Mbozi. Chunya, Mbeya vijijini Mbarali na Mbeya mjini akikagua uttekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuhamasisha uhai wa chama hicho.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE- ITUNGE-KYELAKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye meli ya MV Songea mara baada ya kwenye bandari ya Itunge Kyela leo. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Mery Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili mjini Kyela leo, kushoto ni Munge wa jimbo la Rungwe Magharibi David Mwakyusa katikati ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mbeya na mkuu wa Wilaya ya Chunya Bw.Deodatusi KinawiroKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kyela na Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi wakati akishuka kwenye meli ya MV Songea.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia vikundi vya ngoma Akisalimiana na wananchi wakati wa mapokezi hayo.Kikundi cha kwaya kikitumbuiza katika mapokezi hayo.Burudani ikiendeleaViongozi mbalimbali wa CCM na Serikali wakiwa katika mapokezi hayo.Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa akizungumza na wanakyela leo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi katika bandari ya Itunge leo.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi.
No comments:
Post a Comment