Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza naWahariri na Waandishi wa habari Waandamizi wa Vyombo mbali mbali vya Bara na Visiwani,mkutano huo uligusia masuala ya kiuchumi na kijamii katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya Wahariri habari wa Vyombo mbali mbali na Waandishi Waandamizi wa bara na Viwani wakiwa katikamkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) uliogusia masuala mbali mbali ya kiuchumi na kijamii katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment