Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Morogoro Ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo Akiwa Ameongozana na Wajumbe wa Alat Tawi la Morogoro Walipowatembelea Wahanga wa Mafuriko Ya Dumila Magole jana Ambapo pia walitoa Msaa wa chakula chenye Thamani ya Shilingi Milion Moja na Elfu Hamsin.Katika ziara hiyo wajumbe wa ALAT Tawi la Morogoro waliwapa pole wahanga hao na kuwaahidi kuwa nao pamoja kwa hali na mali.
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Morogoro Ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo Pamoja na wajumbe wenzake wakipewa Maelezo Mafupi juu ya kambi ya Wahanga wa Mafuriko ya Dumila magole.
Wahanga wa Mafuriko ya Dumila Magole wakiwa wanamsikiliza Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Morogoro Ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Morogoro Ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Amir Juma Nondo Akiongea na wahanga wa Mafuriko eneo la Magole walipowatembelea na kutoa msaada wa chakula
No comments:
Post a Comment