Sunday 16 March 2014

ANGALIA MAJINA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14



OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA 
MITAA (OWM - TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA 
MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. 
A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA 
YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA 
IFUATAVYO:- 
i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928 
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416 
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677 
Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za 
vyuo vyaualimu Tanzania Bara. 
B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:- 
1. Kuripoti 
tarehe01/04/2014kwenyeofisizaWakurugenziwaHalmashaurikwaajili

yakupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 
BOFYA HAPA KUYAONA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...