Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti kamanda wa kanda maalum ya
polisi Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova wakati alipoongea na makundi
mbalimbali pamoja na vikosi vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki katika
zoezi la uokozi wakati wa ajali ambapo jengo la ghorofa liliporomoka ,
kuuwa na kujeruhi watu kadhaa katikati ya Jiji la Dar es Salaam hivi
karibun.Hafla hiyo fupi ilifanyika katika ukumbi wa Sabasaba katik
viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini
Dar es Salaam leo Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck
Sadick. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akioongea na makundi mbalimbali pamoja na
vikosi vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki katika zoezi la uokozi
wakati wa ajali ambapo jengo la ghorofa liliporomoka , kuuwa na kujeruhi
watu kadhaa katikati ya Jiji la Dar es Salaam hivi karibun.Hafla hiyo
fupi ilifanyika katika ukumbi wa Sabasaba katik viwanja vya maonyesho ya
kimataifa ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akioongea na makundi mbalimbali pamoja na
vikosi vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki katika zoezi la uokozi
wakati wa ajali ambapo jengo la ghorofa liliporomoka , kuuwa na kujeruhi
watu kadhaa katikati ya Jiji la Dar es Salaam hivi karibun.Hafla hiyo
fupi ilifanyika katika ukumbi wa Sabasaba katik viwanja vya maonyesho ya
kimataifa ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kijana mlemavu Shabani
Selemani Mohamed katika ukumbi Sabasaba katuka viwanja vya maonesho ya
Sabasaba barabara ya Kilwa ,wakati wa hafla fupi ya kupongeza makundi
mbalimbali yaliyoshiri katika kazi ya kuokoa watu na kuopoa miili wakati
wa ajali ya kuanguka kwa ghorofa katikati ya Jiji la Dar e Salaam hivi
karibuni. Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza baadhi ya askari
wa Jeshi la Wananchi JWTZ walishiriki katika kazi ya kuokoa watu wakati
wa ajali ya kupomoka kwa jengo katikati ya jiji la Dar es Salaam hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment