Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa
Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto
katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania
nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipozi na wasichana waliowazawadia
mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake
Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9,
2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima
zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William
Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe
Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja
wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi
wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na
wenyeji wao
No comments:
Post a Comment