Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akiingia katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha
Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,katika utekelezaji wa kazi za
Wizara hiyo kilichofanyika jana
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,
katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano
Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif
Sharif Hamad
Baadhi ya
Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya
Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,kinachoongozwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za
kila Wizara.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment