Kalogeris akizungumza na mkazi wa Bwila Chini baada ya nyumba yake kubomoka baada ya kukumbwa na mafuriko.
Mbunge wa
jimbo la Morogoro Kusini Innocent Kalogeris akitembea kwenye maji
wakati akielekea katika kijiji cha Bwila Chini kugawa unga kwa wazee
wasiojiweza wanaoishi katika kata ya Salambala.
No comments:
Post a Comment