Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar leo asubuhi,( kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia
Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
(katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (wa tatu kulia) Makamo wa
Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi. Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment