Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu
cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza,
Bi. Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa
Kiharusi. Makamu amesaini kitabu hicho kwenye Ofisi za Ubalozi wa
Uingereza nchini zilizopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa
Uingereza nchini, Dianne Melrose
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Balozi wa Uingereza nchini, Dianne Melrose, wakati alipowasili kwenye
Ofisi za Ubalozi huo, zilizopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini
katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa
Uingereza, Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa
wa Kiharusi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu
cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza,
Bi. Margareth Thatcher, aliyefariki wiki iliyopita kwa ugonjwa wa
Kiharusi. Makamu amesaini kitabu hicho kwenye Ofisi za Ubalozi wa
Uingereza nchini zilizopo jijini Dar es Salaam.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment