Thursday, 25 April 2013

DKT. SHEIN AFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA

Wanachama na Vingozi wa  CCM Wilaya ya mya ya Dimani
  Mkoa wa Magharibi Unguja,wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika mkutanno wa Majumuisho
ya ziara yake aliyoifanya Mkoani humo iliyomalizika leo,katika ukumbi
wa  Ofisi ya CCM Mkoa Amani. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_9807 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
 Wanachama pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya mya ya Dimani CCM Mkoa
wa Magharibi Unguja,katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake
aliyoifanya Mkoani humo iliyomalizika leo, mkutano huo ulifanyika
ukumbi wa CCM Mkoa Amani..[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...