Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman alipofika kumtembelea Ofisini kwake Dodoma leo na kufanya nae mazungumzo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman alipofika kumtembelea Ofisini kwake Dodoma
Mbunge wa Maswa (CHADEMA) Mhe. John Shibuda akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kuelekea Ofisi ya Spika alipofika viwanja vya Bunge leo. Jaji Mkuu na Ujumbe wake walimtembelea Mhe. Spika na kufanya nae Mazungumzo Ofisini kwake Mjini Dodoma
Mbunge wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde akieleza jambo kwa hisia Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman katika viwanja vya Bunge leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Mhe. Ngeleja Bungeni leo





No comments:
Post a Comment