jeneza lenye mwili wa Msanii Mkongwe wa
Muziki wa Mwambao (taarab) hapa nchini,Marehemu Fatma Bint Baraka (Bi Kidude)
likitolewa katika msikiti wa Mwembeshauri aliposaliwa mchana wa leo,tayari kwa
kwenda kwenye Mazishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania , Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
udongo katika kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi
Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo katika kaburi la
Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya
Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Maalim Seif Sharif akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab
Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa
wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said sadiq akiweka udongo katika kaburi la
Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya
Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Idd akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab
Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa
wa Kusini Unguja.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Nasibu
Abdul Juma (Diamond) akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya Msanii
mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba
Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
No comments:
Post a Comment