Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge
wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17,
2013.Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ali Abeid.Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge
wa Viti Maalum kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013.
Kutoka kushoto ni Felister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na
Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa
Spika mjini Dodoma Aprili 17,2013. Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
No comments:
Post a Comment