Mwanasiasa
Mkongwe wa Siasa nchini Tanzania, Kingunge Ngomable Mwiru, akizungumza
wakati wa Tamasha la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere,
lililofanyika leo katika Ukumbi wa Nkhuruma Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam. Kingunge alizungumzia kuhusu misingi ya Miiko ya Uongozi
iliyowekwa wakati wa Azmio la Arusha na vilevile akitoa rai kwa viongozi
kufuata miiko hiyo ambayo bado haijafutwa. na mengine mwngi.
Sehemu
ya washiriki wa Tamasha la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere
wakiwa katika Ukumbi wa Nkuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika
Kongamano hilo lililofanyika leo.
No comments:
Post a Comment