Friday, 26 April 2013

WATANZANIA UJERUMANI KUSHEREHEKEA MIAKA 49 YA MUUNGANO MJINI kOLONI

Muungano_Flyer_Kisw
Watanzania  wanaoishi Ujerumani 
kusherehekea miaka 49 ya Muungano,Mjini Kolon,
Siku ya Jumamosi 27.04.2013.
 
Watanzania  wanaoishi Ujerumani 
kusherehekea miaka 49 ya Muungano,Mjini Kolon,
Siku ya Jumamosi 27.04.2013.
umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)
kufanya sherehe za miaka 49 ya muungano
wa bara na visiwani,kama linavyoonekana
tangazo hapo.
Watanzania wote na marafiki wa tanzanzania
mnaoishi ndani na nje ujerumani mnakaribishwa.
 ”Umoja ni Nguvu ! Utengano Ni Udhaifu”
 Chereko Chereko na mwenye mwana
 Watanzania jitokezeni kwa wingi 
 kwa mawasiliano zaidi at kamati.utu@googlemail.com
simu +49(0)1737363422

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...