
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akisoma hotuba ya Wizara yake Bungeni, jumatano wiki hii.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu
wakisikiliza kwa makini michango ya Wabunge kwa Wizara yao.
Watumishi
wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo
wakifuatilia mawasilisho ya bajeti yao Bungeni mjini Dodoma.
Wataalamu
wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakitayarisha majibu ya hoja na
michango mbali mbali ya Wabunge iliyoelekezwa kwa Wizara hiyo.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu
wakibadilishana mawazo na Mbunge Sanya nje ya ukumbi wa Bunge.
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akiwaongoza Mawaziri na Naibu Mawaziri
kuwapongeza Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu
wake Mh Gregory Teu baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu
wakipongezwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Joyce Mapunjo nje ya
Ukumbi wa Bunge mara baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge.
Watumishi
na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika picha ya
pamoja mbele ya ukumbi wa Bunge baada ya Bajeti yao kupita.







No comments:
Post a Comment