Friday, 17 May 2013

LOWASSA AZINDUA KITABU CHA MTIKISIKO WA UCHUMI

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kushoto), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyond', Dar es Salaam LEO. Katikati ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni iliyochapisha kitabu hicho ya Matokeo Publishers &Printers, Rosemary Sokile

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (katikati), akizindua kitabu kipya kinachoelezea mtikisiko wa uchumi karne ya 2000 na kuendelea, kiitwacho 'The Economic Crisis of the 2000s and Beyo nd', Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtunzi wa kitabu hicho Dk. Prosper Ngowi na Mchapishaji, Dk. Charles Sokile. 

 Baadhi ya wadau waloshiriki kwenye uzinduzi huo

Dk. Ngowi akisaini moja ya vitabu vilivyonunuliwa leo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...