Friday, 10 May 2013

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA WILAYA YA CHAKECHAKE PEMBA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Tawi la Ndagoni katika wilaya ya Chakechake leo akihitimisha ziara ya Mkoa wa  Kusini Pemba,ambapo atakamilisha mikoa sita ya Zanzibar,kwa uimarishaji wa Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_0321 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi ya CCM mwanachama mpya Mwanahawa Mohamed Ussi, Jumuiya ya UWT,baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Mgogoni Wilaya ya Chake chake Pemba katika ziara ya kuimarisha Chama leo akihitishan ziara kwa Mikoa sita ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_0326 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi ya CCM mwanachama mpya  Said Robed Solela,kutoka CUF Maziwani,baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Mgogoni Wilaya ya Chake chake Pemba katika ziara ya kuimarisha Chama leo akihitishan ziara kwa Mikoa sita ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...