Monday, 13 May 2013

DR. SHEIN AKUTANA NA KAMATI MAALUM CCM ZAANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia viongozi wa Chama alipowasili uwanja wa Ofisi ya CCM KIsiwandui Mjini Unguja kukiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0517 
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika  ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0522 
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika  ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0529 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui katika kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0537 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya CCM Taifa,katika ukumbi wa CCM KIsiwandui leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...