PICHA ZAIDI ZA MAPOKEZI HAYO:
Wananchi wakimbeba Mbunge wa Igunga mkoani Tabora, Dk. Dalally Peter
Kafumu kumpeleka jukwaani, wakati wa mkutano wa mapokezi yake, jimboni
humo uliofanyika leo kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini
Igunga. Dk. Kafumu amerejeshewe ubunge na mahakama kuu baada ya kukata
rufani kufuatia awali kuvuliwa pia na mahakama baada ya Chadema kwenda
mahakamani aliposhinda katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika
mwaka juzi.
Waendesha bajaji wakimsubiri Dk. Kafumu nje ya mji wa Igunga wakati walipowasili leo
Msafara wa Dk. Kafumu, ukiongozwa na pikipiki na bajaji baada ya kuwasili mjini Igunga leo
Dk. Kafumu akiwa na Nape wakati wa mapokezi hayo
Wazee wa Igunga wakimpongeza Dk. Kafumu kwa kurejeshewa Ubunge, alipowasili leo jimboni Igunga
Dk. Kafumu akisalimia na baadhi ya wanachama wa CCM alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Igunga leo
Dk. Kafumu na Nape wakiwapungia wananchi baada ya kuwasili Igunga
Wananchi wakimshangilia Dk. Kafumu alipowasili kwenye mkutano wa
mapokezi yake uliofanyika kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini
Igunga
Dk. Kafumu akiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Igunga, Coasta Olomi, kwenye mkutano huo wa mapokezi
Nape akihutubia kwenye mkutano huo wa mapokezi ya Dk. Kafumu
"DC hakikisha unasimamia kwa nguvu zote ilani ya uchaguzi ya CCM hapa Igunga", Nape kimwambia mkutano Mkuu wa wilaya ya Igunga
Kila mmoja alikuwa na shauku ya kumuona Dk. Kafumu kiasi kwamba waliokosa nafasi walipanda kwenye miti kama vijana hawa.
Maelfu ya wananchji waliofurika kwenye mkutano wakishangilia

No comments:
Post a Comment