Friday, 31 May 2013

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Atua Njombena kupokelewa na Maelfu ya Watu

Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahma Kinana (chini ya bendera) alipowasili leo Machi 31, 2013, kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wangong'ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wangong;'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...