Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Mushi mara
baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya
Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape
Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment