Barabara ya kibungo Chini inayounganisha Wilaya ya Morogoro Mjini Eneo la Bigwa mapaka Kisaki Wilaya ya Morogoro Vijijini kupitia kata ya kiroka, mkuyuni ,matombo mvuaha mpaka kisani,Eneo hilo lilikuwa korofi
Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 2.6 iko chini ya wakala wa barabara Nchini Tanroads imegarimu shilingi milion 300 mpaka mradi huo utakapokamilika na kuondoa kabisa tatizo sugu la eneo hilo korofi la kibungo chini
Mafundiwakiendelea na ujenzi wa barabara hiyo juzi wakati mbunge wa jimbo hilo Mh Innocent Kalogeris alipoenda kukagua ujenzi huo ikiwa ni utekelezaji wa ilani wa chama cha mapinduzi na utekelezaji wa ahadi ya mbunge wa jimbo hilo,
Barabara hiyo ikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi
Mbunge wa jimbo la morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris Aliyekaa kwenye gari mwenye nguo ya rangi ya njano akiwa eneo la ujenzi kukagua maendeleo ya ujenzi huo.
No comments:
Post a Comment