Friday, 3 May 2013

WANA CCM TUCHAPE KAZI KWA PAMOJA

.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh Innocent Kalogeris ,

Ndugu zangu wananchi wa morogoro na wana ccm tujenge tabia ya kujishugulisha na kufanya kazi ya kujiongezea kipato cha kila siku,Tupo nyuma yenu kwa kushirikiana kwa maendeleo ya taifa letu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...