Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kutoka mikoa ya Mbeya na
Iringa kwenye makazi yake Mjini Dodoma may 16,2013 Kutoka Kushoto Mbunge
wa viti Maalum Mary Mwanjelwa, Mbunge wa Viti Maalum RItta Kabati,
Mbunge wa kalenga na Waziri wa Fedha, William Mgimwa, na Mbunge wa mbozi
Godfrey Zambi. (Piocha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment