Wednesday, 1 May 2013

ZIARA YA DK.SHEIN,WILAYA YA KUSINI UNGUJA

IMG_0005
IMG_0036Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akisalimiana na viongozi wa Tawi la CCM Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja
leo,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
kusini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0046Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Bwejuu Ameir Ali
Jaku,(wa pili kushoto) wakati alipotembelea Tawi hilo pia akiwa katika
uimarshaji wa chama cha mapinduzi katika Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0052Vijana wa CCM katika Kijiji cha Bwejuu,wakiimba wimbo
maalum wa kumkaribisha Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipotembelea katika Tawi la CCM la Kijiji hicho akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja jana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0059Baadhi ya wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Bwejuu
kaskazi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na
IMG_0061Diwani wa CCM Shehia ya Bwejuu Juma Mussa Mkali,akisoma
risala ya wanachama wa CCM Tawi la Bwejuu kaskazi,mbele ya  Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kutembelea
katika Tawi hilo leo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0065Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya wa CCM katika Tawi la CCM Bwejuu,Yussuf
Hassan,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kusini Unguja.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0068Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya wa CCM katika Tawi la CCM Bwejuu,Yussuf
Hassan,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kusini Unguja.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0075Wanachama wapya wa CCM wakilakiapo cha Utii kwa Chama
cha Mapinduzi baada ya kukabidhiwa kadi zao za Chama na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama
 katika Wilaya ya Kusini Unguja jana.  [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
  IMG_0140 

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Bwejuu kaskazi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0190 IMG_0218 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya katika Mkoa huo,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Makunduchi. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...