Wednesday, 1 May 2013

ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI WA (CCM) ZANZIBAR Dk.ALI MOHAMED SHEIN. KUSINI

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi maduka ya  Chama Wilaya Kusini Unguja,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama juzi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9919 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Kazi uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali Suleiman,alipotembelea Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wilaya Kusini ya CCM juzi,katika ziara ya Kuimarisha Chama.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9950 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza risala ya wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,Kusini Makunduchi,baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara  ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9963Wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,wakimasikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupu pichani) alipozungumza nao baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara  ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...