Friday, 3 May 2013

ZIARA YA DKT. SHEIN WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wa Tawi la CCM wilaya ya Kaskazini  B alipofika kuweka Jiwe la Msingi Tawi hilo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9470 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi  Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya Kaskazini  B,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9484 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akipokea Risala ya Wanachama wa  Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya Kaskazini  B,kutoka kwa Mshika fedha  Mwaka  Kassim Ali,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9491 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanachama wa Tawi la CCM Zingwezingwe baada ya kuweka jiwe la msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]  

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanachama na wananchi wa Tawi la CCM Donge baada ya kuweka jiwe la msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9564 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akijenga moja ya Tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Donge,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,(Kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9582 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanachama na wananchi wa Tawi la CCM Donge baada ya kuweka jiwe la msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...