Sunday, 9 June 2013

BAADA YA KURUDI NYUMBANI SASA WANAFURAHA


 Alyekuwa Katibu wa chadema mkoa wa morogoro akiwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la morogoro kusini kupitia chadema  ambao wamehamia chama cha  mapinduzi mara baada ya kuchoshwa na sera mbovu za chadema wakiwa katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...