Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Lishe uliofanyika Mjini Londoni Juni 8, 2013. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu wa Ivory Coast, DanielDuncan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akihutubia katika mkutano wa kimataifa wa Lishe Mjini London.
Waziri Mkuu,Mizengo pInda ana Viongozi wengine wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron wakati alipohutubia mkutano wa kimataifa wa Lishe mjini London.
Goodwill ambassador wa UNICEF, Angelique Kidjo ambaye apia ni mwanamuziki wa kimataifa akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa Lishe uliofanyika mjini London.
Rais wa Malawi Joyce Banda akihutubia katika mkutano wa lishe jijini London.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamishina wa Maendeleo ya Uchumi na Kilimo wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (Commissioner for Rural Economy and Agriculture, African Inion Commission), Tumusiime Rhoda katika Mkutano wa Kimataifa wa Lishe Mjini London Juni 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).







No comments:
Post a Comment