Sunday, 2 June 2013


Katibu  wa idara ya itikadi na uenezi ya  CCM Taifa ndugu Nape Nnauye ( kulia) akimsikiliza katibu mkuu  wa CCM Taifa , Abdulrahman Kinana
Umati  wakifurahishwa na hotuba ya Kinana hotuba  iliyowavuta  wana Chadema pia kufika  eneo hilo
Katibu  mkuu  wa CCM Taifa  ndugu Abdulrahman Kinana kushoto akimsikiliza kwa makini mzee kada  wa CCM Njombe Daniel D Makamba ari maarufu mzee DD wakati akimpongeza kwa utaratibu  wake  wa kuendesha  chama kwa  kushuka chini  zaidi kwa wananchi ,mzee huyo ametoa pongezi huzo dakika chache kabla ya Kinana  kuingia katika ukumbi  wa Lutheran Centre ambako anaendelea na kikao cha Halmashauri  kuu ya mkoa  wa Njombe
Wajumbe  wa Halmashauri  kuu  ya  CCM mkoa  wa Njombe  wakiwa katika  kikao chao na katibu mkuu Bw Kinana hivi  sasa na jioni  ya leo Kinana anataraji  kuhitimisha ziara  yake mkoa  wa Njombe kwa kufanya mkutano mkubwa  viwanja  vya  polisi Makambako Njombe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...