Sunday, 2 June 2013

KINANA AELEZA SABABU YA KUWAFUATA WANACHAMA NGAZI YA CHINI KABISA , WENGI WASIFU KUWA NI KIONGOZI WA MFANO

Katibu mkuu wa  CCM Taifa Ndugu,
Abdulrahman Kinana akizungumza na  wana CCM nje ya  ofisi ya makao makuu ya CCM mkoa wa Njombe leo asubuhi kabla ya  vikao vya ndani vya  chama  kuanza
Umati mkubwa  wa  wana nchi  Njombe mjini  wakimsikiliza katibu mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana leo  nje ya ofisi ya CCM mkoa  wa Njombe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...