IMG_0050
Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMG_0030
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakinukuu maelekezo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  leo.
IMG_0037
Baadhi ya Wakuu wa  Wilaya wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma