Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mkuranga na Waziri wa Kilimo na Ushirika, Adam Malima, Bungeni mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoo) na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsaidia kurekebisha tai Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Katikati ni Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta Mbunge wa Ileje,Aliko Kibona (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24,2013. Katikati ni Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbune wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma







No comments:
Post a Comment