RAIS KIKWETE AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA TICAD V YOKOHAMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe , Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa Ban-Ki Moon akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tano wa TICAD jijini Yokohama leo asubuhi(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment