Friday, 14 June 2013

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA LEO IKULU NDOGO DODOMA

adb2Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero leo Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma baada ya kupkkea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya hiyo  Dkt Donald Kaberuka.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...