Friday, 14 June 2013

WAJUE WAGOMBEA WA UDIWANI WA KATA ZA MASANZO,IFAKARA NA MINEPA MOROGORO

Mgombea wa udiwani kata ya masanzo jimbo la mikumi Ndugu Kambikiye jonas Wilson akisikiliza kwa makini wakati wa kampeni ya udiwani mkutano uliofanyika jana jioni
Mgombea wa udiwani kwa chama cha mapinduzi Ndugu Benjamini Masepo aliyevaa kofia ya njano akiwa katika mkutano huo wa kampeni leo ifakara mjini.
Mgombea wa udiwani kata ya minepa mahenge Ndugu Abdalah Kapate akiwa katia mkutano wa kampeni jana jioni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...