Saturday, 22 June 2013

RAIS KIKWETE WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 25 YA KUTIMIZA UASKOFU WA ASKOFU TELEPHOL MKUDE MOROGORO.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Askofu mkuu wa jimbo kuu la Morogoro Telespor Mkude wakati wa maadhimisho ya sherehe ya miaka 25 ya uaskofu wake katika viwanja vya St Peters Junior Seminary mkoani Morogoro.RAIS Jakaya Kiwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na dini wakati alipohudhuria sherehe za miaka 25 ya Askofu wa jimbo kuu la Morogoro Telesphol Mkude wa pili kulia kwa rais katika viwanja vya shule ya ST Peter mkoani Morogoro leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...