UJUMBE WA PLO YA PALESTINA WAKUTANA NA KINANA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose, akimlaki Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013. Kiongozi huyo na ujumbe wake Jehad Abu Znead (kushoto) na Saleh Raafat (wapili kushoto), wapo nchini kwa mwaliko wa CCM.(Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013. Kiongozi huyo yupo nchini kwa mwaliko wa CCM. (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid (wapili kushoto) katika mazungumzo maalum yaliyofanyika kwenye hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013. Wapili kulia ni Katibu wa HKT ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. Wengine, Watatu kushoto ni Balozi wa Palestina nchini, Dk. Nasri Abujais. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:
Post a Comment